slider

Recent

Designed by mwarabusope. Powered by Blogger.

About Me

Total Pageviews

Search This Blog

Popular Posts

Navigation

JE umewahi kukutana na files ambazo ziko zipped . Usijali suluhisho hili hapa

Je wewe ni mtu wa kutumia computer kwa sana , natumia utakua umekutana na files zipo katika format aina ya RAR , .TAR . ZIP files hizi hua haziwezi kufunguliwa na WINDOW EXPLORER
Mbadala wake kutana na software mbili matata sana katika kufungua files zilizo katika mfumo huo ambazo ni
*WINRAR
*UNIVERSAL EXTRACTOR
Hizi software ni muhimu kwa ajili ya kufungua zipped files, na file zozote zenye format tofaut na windows explorer, hizi software huweza extract file kama .RAR, .TAR, .ZIP. Na kazi kubwa ya WinRar na Universal Extractor ndio hiyo, kazi zingine pia Winrar huweza kukusaidia kuZIP file ilizisiwe affected by Virus ama zisiwe changed

SOFTWARE HIZI WAWEZA KUDOWNLOAD KUPITIA TORRENT AU HATA SITE NYINGINE
Ahsanteni usisahau kushare na marafiki ili nao wapate elimu hii ya bure
Share
Banner

Mwarabusopeblog

Post A Comment:

0 comments: