slider

Recent

Designed by mwarabusope. Powered by Blogger.

About Me

Total Pageviews

Search This Blog

Popular Posts

Navigation

IFANYE MODEM YAKO ITUMIE LINE YA MTANDAO WOWOTE BILA KU UNLOCK

Ikiwa kama ada yetu katika kupeana mawili matatu yanayohusu technologia leo nimekuja ku share nanyi hii TRICK ndogo baada ya kuwa napata maswali mengi kuhusiana na namna ya kuifanya modem ambayo inatumia mtandao mmoja iwe inatumia line ya mtandao wowote
Fata hizi step
Chomeka modem na line isiokua ya mtandao sawa na modem then itakwambia invalid sim, ignore hio msg then close software ya modem
Download software iitwayo NOKIA PC SUITE kisha ifanyie installation katika computer yako kisha
Open nokia pc suite (vizuri uwe na latest version) halafu click pale pa kukonektia na internet (one touch access) utaona tab itapop up then click configure halafu select modem yako mfano (huawei 153) click ok
Now connect na internet bila ku unlock modem, Furahia internet kutoka katika modem yako
Usisahau ku LIKE , COMMENT , SHARE na marafiki
Prepared by Mwarabusope




                                         Image result for nokia pc suite                                                                                     

                 

Share
Banner

Mwarabusopeblog

Post A Comment:

3 comments:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. samahani rudia tens kama unaweza toa na hatua zake

    ReplyDelete
  3. oya kaka naomba link ya ku download hiyo nokia pc soute maan mimi kila niki download haiji kam kwenye hiyo picha

    ReplyDelete