slider

Recent

Designed by mwarabusope. Powered by Blogger.

About Me

Total Pageviews

Search This Blog

Popular Posts

Navigation

MAANA YA ALAMA ZA NETWORK KATIKA SIMU ZENYE INTERNET ACCESS

Niaje wana technology ......leo nimeamua kuleta somo hili dogo kwenu 
  
          watu wengi hua mnasikia terminologies yani 2G, 3G Mara H, H+ au E etc, Je, maana yake ni nini kwenye network?

Kwa kifupi ni speed zinazotumika kusafirisha data kwenye internet ambapo zinatofautiana uwezo kutokana na teknolojia:

1. Letter G stands for GPRS (General Packet Radio Service) na ndio first generation ya mobile phone technology.
Hua inamaanisha spidi ya internet yako ni ndogo sana (86kbps)

2. Letter E stands for EDGE (Enhanced Data Rates for GSM evolution) hua inamaanisha speed ya internet yako ni ndogo ila ina afadhali kidogo kuliko G(236kbps)

3. Letter 2G (Second Generation)
Ni generation ya pili ya mobile phone technology ambayo nayo inatumia GPRS system lakini speed yake ni kubwa kidogo than letter G, (154kbps) ila ni ndogo than letter E yaani ipo katikati ya G na E.

4. Letter 3G (Third Generation of mobile technology)
Inatumia UMTS & imebase kwenye GSM system, na ina speed kubwa kuliko hizo (speed yake 386kbps)

5. Letter H stands for HSPA (High Speed Packet Access)
Ni muendelezo baada ya 3G ambayo ina speed kubwa (like 3.2 Mbps)

6. Letter H+ stands for enhanced HSPA, Yaani hii ina speed kubwa zaidi ya H kama nilivyoielezeainauwezo wa kutransfer data up to 7.2 Mbps, ndio inayotumika kwenye simu nyingi nowadays.

7. Letter 4G (Fourth Generation of Mobile phone Technology) pia inajulikana kwa jina la LTE (Long Term Evolution).
Model hii ndio current kwa sasa ambayo inatumia H+so itakuwa na speed kubwa zaidi (like 14.4mbps to 21mbps)

8. Letter WCDMA stands for Wide-band Code-division Multiple Access.
Inatumia teknolojia ya 3G ila imeongezewa GSM ambayo inaiongezea speed ya kusafirisha data na ndiomaana simu nyingi zimeitumia kabla ya kuja kwa 4G.
Mobile internet network status

Its All about Network Evolution!!
Share
Banner

Mwarabusopeblog

Post A Comment:

0 comments: