Katika somola leo kama kichwa cha habari kinavyosema Tunajifunza jinsi
ya kudouble internet speed ya computer yako kwa kutumia CMD. yana kama
speed ya internet yako ni 50% itaongezeka na kuwa 100%. kama ni 100%
itaongezeka na kuwa 200%. hii trick iko approved. FATA STEPS HIZI RAHISI
1. Nenda kwenye sehem ya ku search kwenye computer yako na andika cmd
2. chagua Run as administrator
3. Andika color a then ENTER
4. Andika cd/ then ENTER
5. Andika netsh int tcp show global then ENTER
6. Andika netsh int tcp set global chimney=enabled then ENTER
7. Andika netsh int tcp set global autotuninglevel=normal then ENTER
8. Andika netsh int tcp set global congestion provider=ctcp then ENTER
9. Andika netsh int tcp show global then ENTER
10. Restart computer yako
Ahsanteni .......
Post A Comment:
0 comments: