(Android Users)
Share na Wenzako
Fahamu Jinsi ya kutumia Google Account yako kupata IMEI (International Mobile Station Equipment Identity) in case ulikuwa huna na kuhitaji kuitrack simu yako ILIYOPOTEA au KUIBIWA
Requirement: Your Last devices that you were used to sign in with Your Google Accont and internet access!
Kumbuka simu yako ina tarakimu 15 ambazo mara nyingi huwa zinakuwa chini ya battery yako unapoifungua simu au nyuma ya simu,! Vile vile unaweza kuipata kwa kupiga *#06# au kwa kwenda kwenye Setting> about > Status!
Sasa imetokea umeibiwa simu, Kuidondosha au kuipoteza na hukufanikiwa kunaakuli IMEI yako hivi ndivyo jinsi unavyoirudisha!
Fungua Browser yako na uingie www.google.com/dashboard
Sign in na Email yako uliyotumia katika simu yako na uende sehemu iliyoandikwa Android> devices
Hapo utakuta Simu zako zote ulizowahi kutumia na Account yako hiyo ya
google na IMEI zake! Hapo unaweza kwenda kituo cha polisi au katika
mitndao yoyote y simu nchini na kuwaonesha imei yako kwa ajili ya
kurudisha simu yako
AHSANTE
Share na wenzko wipate
SASA UKISHa pata hapo android device unaenda wap maana hata sion sehem ya kutafutia
ReplyDeletedah najarbu kuifaind lakin ina goma ina nambia ni try agan
ReplyDelete