slider

Recent

Designed by mwarabusope. Powered by Blogger.

About Me

Total Pageviews

Search This Blog

Popular Posts

Navigation

NJIA YA KURUDISHA DATA ZAKO ZILIZOPOTEA KATIKA MEMORY CARDS,FLASH , CAMERA



Mambo niaje wadau, leo ningependa pia kushare nanyi namna na jinsi ya kuweza kuRECOVER files kutoka kwa Digital Cameras, Memory Cards na memory devices zile ambazo ni mbali na HDD ( Hard disk) ya computer ama USB FLASH....Japo kwa uwezo wa hii TRICK ya leo hakuna Memory Device itakayoSALIMIKA zote zinaweza kuwa RECOVERED kama kuna data yoyote imepotea





 hii njia ya kurecover data kutoka kwa memories. Katika kazi ya kurecover data kwa topic hii tutatumia software inaitwa CARD RECOVERY

          picha ikionyesha muonekano wa SOFTWARE itumikayo:







 Hii software imetengenezwa RASMI kwa ajili ya hizi storage devices ndogo kwa mwonekano kama memory card, SD Cards za Simu na Camera na vingine vingi.

uzuri wa software hii ni rahisi kutumia, kuanzia INSTALLATIONS mpaka ACTIVATIONS na hata kwnye matumizi yake....Basi




 Download Software na Activation Keys za hiyo software hizi hapa...
            CYTG57SB1-GJJG6F5H9C2M87-T658TFJEMQTDS3E


 KUMBUKA:

Kabla hatujaanza zoezi la kuACTIVATE basi unapaswa kujua HUPASWI kuwa CONNECTED na INTERNET. 
      >>>>>>>>>>Click hapa


Share
Banner

Mwarabusopeblog

Post A Comment:

0 comments: