Niaje wataalam wangu wa technology leo nimekuja na hiki kitu hapa
NAMNA YA KUSET CONFIGURATION KATIKA ANDROID ILI KUPATA INTERNET ACCESS
Tunaanza kama ifuatavyo
Bonyeza >>>> Menu
kisha “Settings”
NAMNA YA KUSET CONFIGURATION KATIKA ANDROID ILI KUPATA INTERNET ACCESS
Tunaanza kama ifuatavyo
Bonyeza >>>> Menu
kisha “Settings”
utashuka chini kidogo utakuta neno “Wireless Networks”
Bonyeza tena “More”
Kisha “Mobile Networks”
kisha “Access Point Names”
Chagua mtandao unaotaka kufanya setting kwa simu za Dual sim e.g. Vodacom
Kisha bonyeza ; New APN
Kumbuka : save setting zako kisha zima na kuwasha simu yako
mpaka hapo simu yako iko tayari kwa matumizi ya internet
ANDROID VODACOM
Name = Vodacom APN : Internet
mpaka hapo simu yako iko tayari kwa matumizi ya internet
ANDROID VODACOM
Name: Airtel APN: Internet IP-ADDRESSS: 10.10.09.30
Port:8080
Port:8080
TIGO Name: Tigo APN: tigoweb
ZANTEL
Name: Zantel
APN: znet
HALOTEL
Name : Halotel
APN : b internet
HALOTEL
Name : Halotel
APN : b internet
Nimeelewa kwa hapo, asante sana
ReplyDelete, and kama simu ina tatizo la kukata kata Network nayo unafanyaje, ?
Nimeelewa kwa hapo, asante sana
ReplyDelete, and kama simu ina tatizo la kukata kata Network nayo unafanyaje, ?
ok mkuu hilo tatizo hua network bars zinashuka kabisa au inakuaje hapo ulicho maanisha?
ReplyDelete