slider

Recent

Designed by mwarabusope. Powered by Blogger.

About Me

Total Pageviews

Search This Blog

Popular Posts

Navigation

JINSI YA KUTATUA TATIZO ZA KUTOKUSOMA REMOVABLE STORAGE KWENYE COMPUTER .....

  Habari za muda wadau na wana Teknolojia hii ..............Natumai ni wazima kabisa 
Leo nimekuja kushare nanyi hiki kitu hapa >>>>>>>> NAMNA YA KURUHUSU NA KUZIFUNGA USB PORT ZA COMPUTER KUFANYA KAZI 

 Tumekua watumiaji wa Operating System (OS) ila leo nitakuja na hii ila nitadili sana kwenye windows Yaani nazungumzia Windows 7 , 8 , na 10 ...... sometimes tumekua tukihitaji kufanya hii trick ila tumekua tukishindwa kujua namna ya kufanya sasa basi ngoja twende step by step ......

     Step 1 : Nenda kwenye corner ya computer yako kisha tafuta neno Search .....kisha CLICK


                           

    Step 2 : katika search andika neno Run kisha bonyeza enter



                              
   Step 3 : Baada ya kubonyeza enter Run itajifungua na andika  gpedit.msc kisha bonyeza ok

                   


  Step 4 : Kisha click Administrative Templates
             

 Step 5 : baada ya kuclick unatakiwa uclick neno System


     Step 6 : Baada ya ku Open uta click Removeble storage Access      
                      
   
      Step 7 : Unatakiwa uclick all removable storage classes kama unataka zisisome uta Deny all access

                        


    Step 8 :  Baada ya hapo  Click  Enable and apply...

                     
                      

Baada ya hapo utakua umemaliza na umefanikisha Trick hii ........ Hii inaweza ikasaidia kama ukiwa unachomeka Removable devices yaani mfano FLASH DISK , SD CARD , MODEM ikawa haidetect kwenye mashine yako ...........
                            SHARING IS CARING
       Ahsanteni ................. Kama kuna sehemu hujaelewa na unaswali usisite ku Comment hapo chini tutakujibu ..


Share
Banner
Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

Mwarabusopeblog

Post A Comment:

1 comments:

  1. Love your writing skill. Thanks for sharing this wonderful post.

    cheap Microsoft office 2016 keys
    https://microsoftprokey.com/

    ReplyDelete