KWANINI WINDOWS HAIFUNGUKI MPAKA UBONYE F1
inakuwa inakera sana pale unapowasha computer na kukutana na ujumbe "PRESS F1 TO CONTINUE .... " . Hili ni tatizo ambalo
hutokea mara kwa mara kwenye computer zetu, na mtumiaji kushindwa
kujua chanzo na sababu ya kutokea ujumbe huo, na kujikuta anatumia
computer katika hali hyo kwa kipindi chote bila kusolve
KWANINI UNAKUTANA NA UJUMBE HUO
♧ inakutaka kupress F1 inawezekana kuna kitatizo kwenye hardware unatakitwa uangalie computer vizur
♧ Au inakutaka ungalie mpangilio wako wa BIOS
♧ na vile vile pengine inakuhitaji ubadilishe CMOS
hizi sababu tatu (3) zinaweza kwa njia moja au nyngn ikakuwafanya kukutana na ujumbe huo
Njia zinazoweza kukusaidia kuondoa tatizo hilo:
♧ Nenda kwenye BIOS setting na load default setting.
sometime tunajifanya watundu kucheza na BIOS setting hasa kwa wale
wanaopenda kubadilisha windows mara kwa mara pengine kuna setting
uliweka vibaya na ndio ikawa sababu ya kutokea ujumbe huo so kwa kuload
defaults setting unaifanya computer kuwa na setting yake ya asili
♧ Angalia na weka saa vzr kwenye BIOS setting
♧ Ikiwa hautumia Floppy kwenye computer yako nasi DISABLE floppy
mode kwenye BIOS na badilisha kwenye Primary boot device as "HDD"
♧ Angalia option inayosema "HALT ON" hapa badilisha na weka "NO ERROR"
♧ SAVE hayo mabadiliko uliofanya kisha exit
♧ Restart computer
NB: Kama umeipenda hii napenda zaid kama uta-SHARE kuliko ku-COPY na ku-PAST sehemu nyengine
by:
Mwarabusope
AeroMag Blogger Template
information and technology
Labels
slider
Recent
Designed by mwarabusope. Powered by Blogger.
About Me
Total Pageviews
312793
Search This Blog
Popular Posts
Click here to load more...
Gud guys kwa mnachokifanya develop more I wish uwe na kampun Auto.
ReplyDeleteYeah big up mnatusaidia sana
ReplyDelete